🚨 Usafirishaji haramu wa binadamu ni kati ya makosa makubwa ya jinai Tanzania.
📜 Kwa mujibu wa Sheria ya Kuzuia Usafirishaji Haramu wa Binadamu, Kifungu cha 6:
Usafirishaji haramu wa binadamu unahusisha kuajiri, kusafirisha, kuhamisha, kuhifadhi au kupokea mtu kwa madhumuni ya unyonyaji, ikiwemo ukahaba, ponografia, unyonyaji wa kingono, kazi za kulazimishwa, utumwa au utumikishwaji wa kulazimishwa.
Kosa hili hubeba uzito mkubwa sana ikiwa,
• Mhanga ni mtoto au mtu mwenye ulemavu; au
• Kosa limefanywa na kundi la watu wawili au zaidi; au
• Kosa limefanywa na mzazi, mlezi au mtu mwenye mamlaka juu ya mwathirika.
⚠️ Adhabu: Mtu anayepatikana na hatia anaweza kuhukumiwa kifungo kisichopungua miaka 30, pamoja na faini ya TSh milioni 50 hadi milioni 300, au vyote kwa pamoja.
🏛️ Kosa hili husikilizwa katika Mahakama Kuu.
⚖️ Tatizo Lako la Kisheria Linahitaji Majibu Sahihi?
Elimu ya sheria inayotolewa kwenye makala hii ni ya jumla. Ikiwa unahitaji ufafanuzi kuhusu hali yako binafsi, unaweza kuongea moja kwa moja na Mwanasheria na kupata ushauri unaoendana na mazingira yako.
✅ Utakachopata
✔️ Uchambuzi wa suala lako la kisheria
✔️ Majibu ya maswali yako moja kwa moja
✔️ Mwongozo wa hatua za kuchukua
✔️ Ushauri wa kitaalamu unaozingatia mazingira yako
✔️ Usiri wa kitaalamu katika mawasiliano yote
📚 Maeneo Tunayotoa Ushauri
Ardhi • Mirathi • Ndoa na Talaka • Ajira • Mikataba • Madeni • Biashara • Mashauri ya Madai • Mashauri ya Jinai na masuala mengine ya kisheria.
💰 Ada ya Ushauri: TSh 30,000 Tu
📲 Fanya Malipo Kupitia Mojawapo ya Njia Zifuatazo
✅ Airtel Money LIPA: 13970429
✅ Yas/Tigo LIPA: 18401500
✅ M-Pesa Wakala: 826910
✅ Selcom Lipa: 61122934
✅ CRDB Lipa TANQR: 11692089
Jina la Mpokeaji:
Johnson Yesaya Mgelwa
📩 Baada ya Kufanya Malipo
Tuma ujumbe mfupi wa kuthibitisha malipo yako kupitia WhatsApp au SMS. Utapigiwa simu ndani ya dakika 10 kwa ushauri wa kisheria.
💬 TUMA UTHIBITISHO WA MALIPO+255 628 729 934

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿