📌 Kwa mujibu wa Kifungu cha 12 cha Sheria ya Utwaaji Ardhi.
⚠️ Hakuna fidia inayotolewa kwa ardhi ambayo inatwaliwa ikiwa tupu. Fidia hutolewa kuzingatia kiasi ambacho ardhi hiyo imeendelezwa na athari za kiuchumi zitakazojitokeza.
👉🏽 Eneo litahesabika ni tupu hata kama limewekwa uzio, kusawazishwa, kulimwa bila kupandwa mazao ya kudumu, eneo lililowahi kujengwa lakini baadae majengo kubomolewa na kutelekezwa, eneo linatumika kama egesho la magari au kutupa taka n.k
🌾 Kwa ardhi ya vijijini haitachukuliwa kuwa tupu ikiwa ilikuwa ikitumika kwa kilimo 🌱 au malisho 🐄 ndani ya kipindi cha miezi 12 kabla ya kutangazwa kutwaliwa kwaajili ya matumizi ya umma.
⚖️ Tatizo Lako la Kisheria Linahitaji Majibu Sahihi?
Elimu ya sheria inayotolewa kwenye makala hii ni ya jumla. Ikiwa unahitaji ufafanuzi kuhusu hali yako binafsi, unaweza kuongea moja kwa moja na Mwanasheria na kupata ushauri unaoendana na mazingira yako.
✅ Utakachopata
✔️ Uchambuzi wa suala lako la kisheria
✔️ Majibu ya maswali yako moja kwa moja
✔️ Mwongozo wa hatua za kuchukua
✔️ Ushauri wa kitaalamu unaozingatia mazingira yako
✔️ Usiri wa kitaalamu katika mawasiliano yote
📚 Maeneo Tunayotoa Ushauri
Ardhi • Mirathi • Ndoa na Talaka • Ajira • Mikataba • Madeni • Biashara • Mashauri ya Madai • Mashauri ya Jinai na masuala mengine ya kisheria.
💰 Ada ya Ushauri: TSh 30,000 Tu
📲 Fanya Malipo Kupitia Mojawapo ya Njia Zifuatazo
✅ Airtel Money LIPA: 13970429
✅ Yas/Tigo LIPA: 18401500
✅ M-Pesa Wakala: 826910
✅ Selcom Lipa: 61122934
✅ CRDB Lipa TANQR: 11692089
Jina la Mpokeaji:
Johnson Yesaya Mgelwa
📩 Baada ya Kufanya Malipo
Tuma ujumbe mfupi wa kuthibitisha malipo yako kupitia WhatsApp au SMS. Utapigiwa simu ndani ya dakika 10 kwa ushauri wa kisheria.
💬 TUMA UTHIBITISHO WA MALIPO+255 628 729 934

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿