Ticker

6/recent/ticker-posts

Kuvujisha mtihani kosa la jinai



Kuvujisha mtihani ni kosa la jinai lililotajwa katika kifungu cha 18 cha Sheria ya Baraza la mtihani na adhabu ya kosa hilo ni faini isiyopungua milioni 10 au kifungo kisichopungua miaka 3 na kisichozidi miaka 5 au vyote kwa pamoja.

Tafsiri ya kuvujisha ni kusambaza maudhui ya mtihani kwa mdomo, kwa maandishi au kwa njia za kielektroniki kwa mtu mwingine kinyume cha utaratibu.

Chapisha Maoni

0 Maoni