Ticker

6/recent/ticker-posts

Uchawi na ushirikina miaka 7 jela.



Kutumia uchawi au ushirikina kwa lengo la kusababisha kifo, ugonjwa, jeraha, au mkosi kwa jamii yoyote, kundi la watu, mtu binafsi, au mnyama, au kusababisha uharibifu wa mali yoyote, ni kosa la jinai lililotajwa katika vifungu 3,4 na 5 vya sheria ya uchawi na adhabu ya kosa hilo ni kifungo kisichopungua miaka 7.

Chapisha Maoni

0 Maoni