Kumfanyia mtu mtihani, kuruhusu mtu mwingine kukufanyia mtihani ni kosa la jinai lililotajwa katika kifungu cha 19 cha Sheria ya Baraza la mtihani na adhabu ya kosa hilo ni faini isiyopungua milioni 10 au kifungo kisichopungua miaka 3 na kisichozidi miaka 5 au vyote kwa pamoja.

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿