Ticker

6/recent/ticker-posts

Utekaji nyara kwa lengo la kuua, jela miaka 10.



Kuteka nyara mtu, kwa lengo la kuua ni kosa la jinai lenye adhabu ya miaka 10 jela. Kosa hili pia kulingana na mazingira lilivyotendeka, linaweza kwenda pamoja na makosa kama jaribio la kuua, shambulio la kudhuru mwili n.k 

Kifungu 248 cha sheria ya kanuni ya adhabu sura ya 16

Chapisha Maoni

0 Maoni