Ticker

6/recent/ticker-posts

Kisheria marehemu ana uwezo wa kulipa deni.



Marehemu anaweza kulipa au kudai deni lake kupitia msimamizi wa mirathi. Msimamizi wa mirathi ndiye mwakilishi wa kisheria wa marehemu.

Kama una mdai marehemu, unaweza kulipwa deni lako kupitia msimamizi wa mirathi. Kama hakuna msimamizi wa mirathi ambaye ameteuliwa, wewe mdai unaweza kuiomba mahakama usimamizi wa mirathi hiyo ya marehemu.

Chapisha Maoni

0 Maoni