Ticker

6/recent/ticker-posts

Unaweza kumshtaki mtu aliyefanya zinaa na mwenzi wako.



Kwa MUJIBU wa sheria ya ndoa, kifungu cha 72, MKE au MUME katika ndoa, anaweza kumshtaki mtu yeyote yule ambaye amefanya zinaa na mwanandoa mwenzie na kudai fidia.

Chapisha Maoni

0 Maoni