Ticker

6/recent/ticker-posts

Ndoa ya kikristo ni ndoa ya mke mmoja.



Kwa mujibu wa sheria ya ndoa ya Tanzania, ndoa ya kikristo ni ndoa ya Mke mmoja na mwanandoa yeyote kati yao haruhusiwi kufunga ndoa mpya endapo ndoa yao ya awali bado inatambulika au ipo kihalali kwa mujibu wa sheria.

#ndoa #sherianatehama #sheria

Chapisha Maoni

0 Maoni