Ticker

6/recent/ticker-posts

Mdhamini katika dhamana anapofariki.



Kwa MUJIBU wa sheria ya mwenendo wa jinai sura namba 20 kifungu cha 156, endapo mdhamini katika dhamana anafariki kabla ya dhamana husika kufutwa au kufikia ukomo, basi mali na wajibu wa mdhamini huyo katika dhamana hiyo unakoma na upande uliopoteza mdhamini utawajibika kutafuta mdhamini mwingine.

Chapisha Maoni

0 Maoni