Ticker

6/recent/ticker-posts

UHAINI.



Kwa MUJIBU wa sheria ya kanuni ya Adhabu SURA ya 16 toleo la 2022 kifungu cha 39, UHAINI ni kosa la kukusudia na kumuua au kujaribu kumuua Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, kuanzisha vita dhidi ya serikali ya Tanzania, kuazimia au kushawishi kikundi cha watu kumuua Rais au kumuondoa madarakani isivyo halali. Lakini pia, kuungana na maadui kuishambulia jamhuri ya muungano. Kosa hili Adhabu yake ni KIFO na ni kosa kubwa kabisa kati ya makosa yote ya jinai.

Chapisha Maoni

0 Maoni