Ticker

6/recent/ticker-posts

Ruhusa ya kunyonyesha.



Kwa MUJIBU wa sheria ya kazi kifungu cha 33(10), kikisomwa pamoja na kanuni ya 15 ya kanuni za jumla za kazi, mama anayenyonyesha ambaye ni mfanyakazi, ana haki ya kupata muda wa masaa 2 kila siku kwenda kunyonyesha mtoto. Haki hiyo itadumu kwa kipindi cha miezi 6 mfululizo tangu mama amalize likizo ya uzazi.

Chapisha Maoni

0 Maoni