Ticker

6/recent/ticker-posts

mwajiri haruhusiwi kumpa kazi ngumu mwajiriwa mjamzito.



Kwa MUJIBU wa sheria ya kazi kifungu cha 33(5), mwajiri haruhusiwi kumpa kazi ngumu zinazoweza kumwathiri mama mjamzito. Kazi atakazopewa mjamzito kipindi chote cha ujauzito zizingatie afya ya mama na mtoto.

Chapisha Maoni

0 Maoni