Ticker

6/recent/ticker-posts

Mwanasheria Mkuu Tanzania ni mbunge pia.



IBARA ya 59 (5) ya KATIBA inasema, Mwanasheria Mkuu wa serikali atakuwa mbunge kutokana na wadhifa wake. Mwanasheria Mkuu kama mbunge atawajibika kujibu maswali yote kuhusu sheria ambayo yanaelekezwa kwa serikali. Ni mbunge pekee ambaye Hapigiwi kura, Hana Jimbo na Hateuliwi kuwa mbunge. Anapata ubunge moja kwa moja kupitia kuteuliwa kuwa mwanasheria mkuu.

Chapisha Maoni

0 Maoni