Kwa MUJIBU wa sheria ya kazi kifungu cha 37, ni kosa mwajiri kumwachisha kazi mwajiriwa isivyo halali. Mwajiri anapomwachisha kazi mfanyakazi, ni lazima aonyesha sababu halali na ya msingi ya kumwachisha kazi mwajiriwa, pia sababu hiyo iwe inahusiana na nidhamu au uwezo wa utendaji kazi wa mwajiriwa. Lakini taratibu zote za kumwachisha kazi mwajiriwa lazima ziwe zimezingatiwa.

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿