Ticker

6/recent/ticker-posts

Ndoa ni nini?



NDOA ni muungano wa kudumu kati ya mtu MKE na mtu MUME ambapo muungano huo hutarajiwa kuwa wa kudumu kati ya wawili hao katika kipindi chote cha maisha yao.


Ndoa yaweza kuwa ya MKE mmoja au WAKE wengi.


Ndoa ya MKE mmoja ni kati ya MKE mmoja na MUME mmoja pekee.


Ndoa ya wake wengi ni kati ya WAKE kadhaa na MUME mmoja pekee.


NDOA ya MKE mmoja inapofungwa, mwanandoa mmoja kati yao haruhusiwi kufunga ndoa nyingine endapo ndoa ya awali bado ipo hai.


#sherianatehama

#sheriayandoa

     ⚖️ Tatizo Lako la Kisheria Linahitaji Majibu Sahihi?

Elimu ya sheria inayotolewa kwenye makala hii ni ya jumla. Ikiwa unahitaji ufafanuzi kuhusu hali yako binafsi, unaweza kuongea moja kwa moja na Mwanasheria na kupata ushauri unaoendana na mazingira yako.

✅ Utakachopata

✔️ Uchambuzi wa suala lako la kisheria

✔️ Majibu ya maswali yako moja kwa moja

✔️ Mwongozo wa hatua za kuchukua

✔️ Ushauri wa kitaalamu unaozingatia mazingira yako

✔️ Usiri wa kitaalamu katika mawasiliano yote

📚 Maeneo Tunayotoa Ushauri

Ardhi • Mirathi • Ndoa na Talaka • Ajira • Mikataba • Madeni • Biashara • Mashauri ya Madai • Mashauri ya Jinai na masuala mengine ya kisheria.

💰 Ada ya Ushauri: TSh 30,000 Tu

📲 Fanya Malipo Kupitia Mojawapo ya Njia Zifuatazo

✅ Airtel Money LIPA: 13970429

✅ Yas/Tigo LIPA: 18401500

✅ M-Pesa Wakala: 826910

✅ Selcom Lipa: 61122934

✅ CRDB Lipa TANQR: 11692089


Jina la Mpokeaji:
Johnson Yesaya Mgelwa

📩 Baada ya Kufanya Malipo

Tuma ujumbe mfupi wa kuthibitisha malipo yako kupitia WhatsApp au SMS. Utapigiwa simu ndani ya dakika 10 kwa ushauri wa kisheria.

💬 TUMA UTHIBITISHO WA MALIPO

+255 628 729 934

Usifanye Maamuzi ya Kisheria Bila Ushauri wa Kitaalamu.

Chapisha Maoni

0 Maoni