Ticker

6/recent/ticker-posts

Mkataba ni nini?



MADA: SHERIA YA MIKATABA.


MKATABA ni makubaliano ya kisheria kati ya watu binafsi, au kati ya taasisi au mashirika au watu dhidi ya taasisi. Makubaliano hayo hutoa wajibu na majukumu kwa pande zote mbili ambapo majukumu hayo ni lazima yatekelezwe.


#sherianatehama #mikataba

Chapisha Maoni

0 Maoni