Mtoto ana HAKI ya kupewa JINA, URAIA na haki ya kuwafahamu wazazi wake HALISI pamoja na ndugu zake.
Sheria ya mtoto, sura ya 13 ya mwaka 2019 KIFUNGU cha 6(1)(2) na (3).
Kila mtoto anayo HAKI ya kupewa JINA, URAIA, haki ya kuwafahamu wazazi na haki ya kuishi na wazazi wake bila kuzuiwa au kunyimwa haki hizo na mtu yeyote.
KILA mzazi au mlezi ana wajibu wa kisheria wa kumsajili mtoto wake kwa msajili wa vizazi na vifo.
Jungu la sheria Tanzania
#sherianatehama
⚖️ Tatizo Lako la Kisheria Linahitaji Majibu Sahihi?
Elimu ya sheria inayotolewa kwenye makala hii ni ya jumla. Ikiwa unahitaji ufafanuzi kuhusu hali yako binafsi, unaweza kuongea moja kwa moja na Mwanasheria na kupata ushauri unaoendana na mazingira yako.
✅ Utakachopata
✔️ Uchambuzi wa suala lako la kisheria
✔️ Majibu ya maswali yako moja kwa moja
✔️ Mwongozo wa hatua za kuchukua
✔️ Ushauri wa kitaalamu unaozingatia mazingira yako
✔️ Usiri wa kitaalamu katika mawasiliano yote
📚 Maeneo Tunayotoa Ushauri
Ardhi • Mirathi • Ndoa na Talaka • Ajira • Mikataba • Madeni • Biashara • Mashauri ya Madai • Mashauri ya Jinai na masuala mengine ya kisheria.
💰 Ada ya Ushauri: TSh 30,000 Tu
📲 Fanya Malipo Kupitia Mojawapo ya Njia Zifuatazo
✅ Airtel Money LIPA: 13970429
✅ Yas/Tigo LIPA: 18401500
✅ M-Pesa Wakala: 826910
✅ Selcom Lipa: 61122934
✅ CRDB Lipa TANQR: 11692089
Jina la Mpokeaji:
Johnson Yesaya Mgelwa
📩 Baada ya Kufanya Malipo
Tuma ujumbe mfupi wa kuthibitisha malipo yako kupitia WhatsApp au SMS. Utapigiwa simu ndani ya dakika 10 kwa ushauri wa kisheria.
💬 TUMA UTHIBITISHO WA MALIPO+255 628 729 934

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿