Ticker

6/recent/ticker-posts

Haki ya mtoto ya matunzo na kuishi na wazazi baada ya wazazi kutengana.


Kwa Mujibu wa kifungu cha 26(1) na (2) Cha Sheria ya mtoto.


Baada ya wazazi kutengana, mtoto ana haki ya kuendelea kupata matunzo kutoka kwa wazazi pamoja na kuendelea kupata elimu ya kiwango kilekile alichokuwa akipata mtoto kabla ya kutengana kwa wazazi wake.


Mtoto pia ana haki ya kuishi na mzazi ambaye kwa maoni ya mahakama, anaweza kumlea na kukidhi mahitaji ya mtoto bila kuathiri ukuaji wake kama mtoto.


Mtoto ana haki ya kumtembelea na kukaa na mzazi mwingine wakati wowote anapojiskia isipokuwa tu kama kufanya hivyo kunaathiri ratiba yake ya shule.


Ni mtazamo wa kisheria kwamba mtoto wa chini ya miaka saba atakaa na mama yake mzazi lakini mahakama kuzingatia sababu zingine inaweza kuagiza kinyume chake.


Jungu la sheria Tanzania ✔️.

     ⚖️ Tatizo Lako la Kisheria Linahitaji Majibu Sahihi?

Elimu ya sheria inayotolewa kwenye makala hii ni ya jumla. Ikiwa unahitaji ufafanuzi kuhusu hali yako binafsi, unaweza kuongea moja kwa moja na Mwanasheria na kupata ushauri unaoendana na mazingira yako.

✅ Utakachopata

✔️ Uchambuzi wa suala lako la kisheria

✔️ Majibu ya maswali yako moja kwa moja

✔️ Mwongozo wa hatua za kuchukua

✔️ Ushauri wa kitaalamu unaozingatia mazingira yako

✔️ Usiri wa kitaalamu katika mawasiliano yote

📚 Maeneo Tunayotoa Ushauri

Ardhi • Mirathi • Ndoa na Talaka • Ajira • Mikataba • Madeni • Biashara • Mashauri ya Madai • Mashauri ya Jinai na masuala mengine ya kisheria.

💰 Ada ya Ushauri: TSh 30,000 Tu

📲 Fanya Malipo Kupitia Mojawapo ya Njia Zifuatazo

✅ Airtel Money LIPA: 13970429

✅ Yas/Tigo LIPA: 18401500

✅ M-Pesa Wakala: 826910

✅ Selcom Lipa: 61122934

✅ CRDB Lipa TANQR: 11692089


Jina la Mpokeaji:
Johnson Yesaya Mgelwa

📩 Baada ya Kufanya Malipo

Tuma ujumbe mfupi wa kuthibitisha malipo yako kupitia WhatsApp au SMS. Utapigiwa simu ndani ya dakika 10 kwa ushauri wa kisheria.

💬 TUMA UTHIBITISHO WA MALIPO

+255 628 729 934

Usifanye Maamuzi ya Kisheria Bila Ushauri wa Kitaalamu.

Chapisha Maoni

0 Maoni