Ticker

6/recent/ticker-posts

📢 UMEHUKUMIWA NA MAHAKAMA KUU KATIKA KESI YA JINAI? UNA SIKU 30 ZA KUKATA RUFAA!


📢 UMEHUKUMIWA NA MAHAKAMA KUU KATIKA KESI YA JINAI? UNA SIKU 30 ZA KUKATA RUFAA!

📜 Kwa mujibu wa Kifungu cha 9(1) cha Sheria ya Mamlaka ya Mahakama ya Rufaa, Sura ya 141 [Toleo la 2023], mtu aliyetiwa hatiani na Mahakama Kuu anaweza kukata rufaa kwenda Mahakama ya Rufani ya Tanzania.

Aidha, Kanuni ya 68(1) ya Kanuni za Mahakama ya Rufani inaelekeza kuwa mtu anayetaka kukata rufaa anatakiwa kuwasilisha Notisi ya Rufaa kwa maandishi, katika nakala tatu (3), kwa Msajili wa Mahakama Kuu katika eneo ambako uamuzi ulitolewa, ndani ya siku 30 tangu tarehe ya uamuzi huo.

⚠️ ZINGATIA: Siku 30 ni muda wa kuwasilisha Notisi ya Rufaa, si muda wa kukamilisha mchakato mzima wa rufaa.

     ⚖️ Tatizo Lako la Kisheria Linahitaji Majibu Sahihi?

Elimu ya sheria inayotolewa kwenye makala hii ni ya jumla. Ikiwa unahitaji ufafanuzi kuhusu hali yako binafsi, unaweza kuongea moja kwa moja na Mwanasheria na kupata ushauri unaoendana na mazingira yako.

✅ Utakachopata

✔️ Uchambuzi wa suala lako la kisheria

✔️ Majibu ya maswali yako moja kwa moja

✔️ Mwongozo wa hatua za kuchukua

✔️ Ushauri wa kitaalamu unaozingatia mazingira yako

✔️ Usiri wa kitaalamu katika mawasiliano yote

📚 Maeneo Tunayotoa Ushauri

Ardhi • Mirathi • Ndoa na Talaka • Ajira • Mikataba • Madeni • Biashara • Mashauri ya Madai • Mashauri ya Jinai na masuala mengine ya kisheria.

💰 Ada ya Ushauri: TSh 30,000 Tu

📲 Fanya Malipo Kupitia Mojawapo ya Njia Zifuatazo

✅ Airtel Money LIPA: 13970429

✅ Yas/Tigo LIPA: 18401500

✅ M-Pesa Wakala: 826910

✅ Selcom Lipa: 61122934

✅ CRDB Lipa TANQR: 11692089


Jina la Mpokeaji:
Johnson Yesaya Mgelwa

📩 Baada ya Kufanya Malipo

Tuma ujumbe mfupi wa kuthibitisha malipo yako kupitia WhatsApp au SMS. Utapigiwa simu ndani ya dakika 10 kwa ushauri wa kisheria.

💬 TUMA UTHIBITISHO WA MALIPO

+255 628 729 934

Usifanye Maamuzi ya Kisheria Bila Ushauri wa Kitaalamu.

Chapisha Maoni

0 Maoni