👶 Mtoto mwenye umri chini ya miaka 10 hawajibiki kwa makosa ya jinai.
📜 Kwa mujibu wa Kanuni ya Adhabu – Kifungu cha 15:
• Mtoto mwenye umri chini ya miaka 10 hahesabiwi kuwa na hatia katika kitendo cha jinai.
• Mtoto mwenye umri kati ya miaka 10 na 12 anaweza kuwajibika tu ikiwa itathibitishwa kuwa alielewa kwamba kitendo chake kilikuwa kibaya au kinyume cha sheria.
• Mtoto wa kiume mwenye umri chini ya miaka 12 huchukuliwa kisheria kuwa hawezi kufanya tendo la ndoa.
• Watoto walio chini ya miaka 12 wanaotenda vitendo visivyo halali hushughulikiwa kwa mujibu wa Sheria ya Mtoto.
⚠️ Sheria inalenga kulinda maslahi ya mtoto huku ikizingatia kiwango chake cha ufahamu na ukuaji.
⚖️ Tatizo Lako la Kisheria Linahitaji Majibu Sahihi?
Elimu ya sheria inayotolewa kwenye makala hii ni ya jumla. Ikiwa unahitaji ufafanuzi kuhusu hali yako binafsi, unaweza kuongea moja kwa moja na Mwanasheria na kupata ushauri unaoendana na mazingira yako.
✅ Utakachopata
✔️ Uchambuzi wa suala lako la kisheria
✔️ Majibu ya maswali yako moja kwa moja
✔️ Mwongozo wa hatua za kuchukua
✔️ Ushauri wa kitaalamu unaozingatia mazingira yako
✔️ Usiri wa kitaalamu katika mawasiliano yote
📚 Maeneo Tunayotoa Ushauri
Ardhi • Mirathi • Ndoa na Talaka • Ajira • Mikataba • Madeni • Biashara • Mashauri ya Madai • Mashauri ya Jinai na masuala mengine ya kisheria.
💰 Ada ya Ushauri: TSh 30,000 Tu
📲 Fanya Malipo Kupitia Mojawapo ya Njia Zifuatazo
✅ Airtel Money LIPA: 13970429
✅ Yas/Tigo LIPA: 18401500
✅ M-Pesa Wakala: 826910
✅ Selcom Lipa: 61122934
✅ CRDB Lipa TANQR: 11692089
Jina la Mpokeaji:
Johnson Yesaya Mgelwa
📩 Baada ya Kufanya Malipo
Tuma ujumbe mfupi wa kuthibitisha malipo yako kupitia WhatsApp au SMS. Utapigiwa simu ndani ya dakika 10 kwa ushauri wa kisheria.
💬 TUMA UTHIBITISHO WA MALIPO+255 628 729 934

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿