📌 Kwa mujibu wa Kifungu cha 32 cha Sheria ya Ajira na Uhusiano Kazini; ⚖️
👩⚕️ Mfanyakazi ana haki ya likizo ya mwaka ya siku 28 mfululizo katika kila mzunguko wa mwaka. Siku hizi za likizo zinajumuisha pia sikukuu za kitaifa zitakazoangukia ndani ya kipindi cha likizo.
Iwapo mfanyakazi, kwa ombi lake, alipewa likizo ya muda ndani ya mwaka, siku hizo zinaweza kupunguza idadi ya siku za likizo ya mwaka. 📜
👨💼Mwajiri ana mamlaka ya kuamua lini likizo itatumika, lakini lazima itumike ndani ya miezi sita baada ya mwaka wa likizo kuisha, au ndani ya miezi kumi na miwili endapo mfanyakazi ameridhia na kuna sababu za kiutendaji kazini.
Aidha, mwajiri anatakiwa kumlipa mfanyakazi mshahara wake wote kabla ya kuanza likizo. Kwa ridhaa ya mfanyakazi, anaweza kuitwa kufanya kazi wakati wa likizo ya mwaka, lakini haruhusiwi kufanya kazi mfululizo kwa kipindi cha miaka miwili bila kutumia likizo ya mwaka.
#ajira #kazi #sheriayakazi #mwajiri #mwajiriwa
⚖️ Tatizo Lako la Kisheria Linahitaji Majibu Sahihi?
Elimu ya sheria inayotolewa kwenye makala hii ni ya jumla. Ikiwa unahitaji ufafanuzi kuhusu hali yako binafsi, unaweza kuongea moja kwa moja na Mwanasheria na kupata ushauri unaoendana na mazingira yako.
✅ Utakachopata
✔️ Uchambuzi wa suala lako la kisheria
✔️ Majibu ya maswali yako moja kwa moja
✔️ Mwongozo wa hatua za kuchukua
✔️ Ushauri wa kitaalamu unaozingatia mazingira yako
✔️ Usiri wa kitaalamu katika mawasiliano yote
📚 Maeneo Tunayotoa Ushauri
Ardhi • Mirathi • Ndoa na Talaka • Ajira • Mikataba • Madeni • Biashara • Mashauri ya Madai • Mashauri ya Jinai na masuala mengine ya kisheria.
💰 Ada ya Ushauri: TSh 30,000 Tu
📲 Fanya Malipo Kupitia Mojawapo ya Njia Zifuatazo
✅ Airtel Money LIPA: 13970429
✅ Yas/Tigo LIPA: 18401500
✅ M-Pesa Wakala: 826910
✅ Selcom Lipa: 61122934
✅ CRDB Lipa TANQR: 11692089
Jina la Mpokeaji:
Johnson Yesaya Mgelwa
📩 Baada ya Kufanya Malipo
Tuma ujumbe mfupi wa kuthibitisha malipo yako kupitia WhatsApp au SMS. Utapigiwa simu ndani ya dakika 10 kwa ushauri wa kisheria.
💬 TUMA UTHIBITISHO WA MALIPO+255 628 729 934

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿