Ticker

6/recent/ticker-posts

Deni linafunga jela.



Endapo umeshtakiwa kwa madai, na mahakama ikatoa amri ulipe kiasi cha fedha na ukashindwa kutekeleza amri hiyo, mdai anaweza kuomba mahakama itoe amri mbili kati ya zifuatazo.

1. Mali zako zikamatwe ziuzwe kufidia deni.

2. Na endapo imebainika huna mali, ukamatwe na kuwekwa jela kama mfungwa wa madai kwa miezi sita.


Chapisha Maoni

0 Maoni