IBARA ya 18 ya katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Bila ya kuathiri sheria za nchi, kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake, na kutafuta, kupokea na kutoa habari za dhana zozote
kupitia chombo chochote bila ya kujali mipaka ya nchi, na pia ana Uhuru wa mawasiliano yake kutoingiliwa kati.
Kila raia anayo haki ya kupewa taarifa wakati wote kuhusu matukio mbalimbali nchini na duniani kote ambayo ni muhimu kwa maisha na shughuli za wananchi, na pia juu ya masuala muhimu kwa jamii.
⚖️ Tatizo Lako la Kisheria Linahitaji Majibu Sahihi?
Elimu ya sheria inayotolewa kwenye makala hii ni ya jumla. Ikiwa unahitaji ufafanuzi kuhusu hali yako binafsi, unaweza kuongea moja kwa moja na Mwanasheria na kupata ushauri unaoendana na mazingira yako.
✅ Utakachopata
✔️ Uchambuzi wa suala lako la kisheria
✔️ Majibu ya maswali yako moja kwa moja
✔️ Mwongozo wa hatua za kuchukua
✔️ Ushauri wa kitaalamu unaozingatia mazingira yako
✔️ Usiri wa kitaalamu katika mawasiliano yote
📚 Maeneo Tunayotoa Ushauri
Ardhi • Mirathi • Ndoa na Talaka • Ajira • Mikataba • Madeni • Biashara • Mashauri ya Madai • Mashauri ya Jinai na masuala mengine ya kisheria.
💰 Ada ya Ushauri: TSh 30,000 Tu
📲 Fanya Malipo Kupitia Mojawapo ya Njia Zifuatazo
✅ Airtel Money LIPA: 13970429
✅ Yas/Tigo LIPA: 18401500
✅ M-Pesa Wakala: 826910
✅ Selcom Lipa: 61122934
✅ CRDB Lipa TANQR: 11692089
Jina la Mpokeaji:
Johnson Yesaya Mgelwa
📩 Baada ya Kufanya Malipo
Tuma ujumbe mfupi wa kuthibitisha malipo yako kupitia WhatsApp au SMS. Utapigiwa simu ndani ya dakika 10 kwa ushauri wa kisheria.
💬 TUMA UTHIBITISHO WA MALIPO+255 628 729 934

0 Maoni
WEKA MAONI YAKO HAPA.
TAFADHALI USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KUUDHI KWANI NI KOSA KISHERIA.
KARIBU SANA NA ASANTEE.. 🇹🇿