Ticker

6/recent/ticker-posts

WATOTO HAWARUHUSIWI KUHUDHURIA MAHAKAMA.




SHERIA YA MWENENDO WA MAKOSA YA JINAI SURA YA 20 ILIYOREJEWA MWAKA 2019.

KIFUNGU CHA 187 KINASEMA;

Hakuna mtoto atakayeruhusiwa kuwa mahakamani wakati wa shauri la mtu yoyote mwingine  anayeshitakiwa kwa kosa au wakati wa mwenendo wa mwanzo wa shauri hilo isipokuwa katika muda huo ambapo uwepo wake utahitajika  kama shahidi au vinginevyo kwa madhumuni ya haki; na mtoto  yeyote aliye mahakamani wakati chini ya kifungu hiki haruhusiwi kuwepo ataamuriwa kuondolewa; lakini hiki kifungu hakitatumika kwa wahudumu, maafisa sheria,  makarani au watu wengine  wanaotakiwa kuhudhuria mahakamani kwa madhumuni yanayohusiana na ajira zao.

Imeandikwa na

Mwanasheria,

Johnson Yesaya Mgelwa (@yesayajm)

Wa Jungu la sheria Tanzania

0758218269/0628729934

Chapisha Maoni

0 Maoni