Ticker

6/recent/ticker-posts

KUJAMIIANA NA MNYAMA= KIFUNGO CHA MAISHA/MIAKA "30".

 KUJAMIIANA NA MNYAMA= KIFUNGO CHA MAISHA/MIAKA "30".




KIFUNGU CHA 154(b) CHA KANUNI YA ADHABU SURA YA 16.

Kinasema, mtu yeyote ambaye- anamuingilia mnyama kimwili, atakuwa ametenda kosa, na atawajibika kwa adhabu ya kifungo cha maisha na wakati mwingine kifungo kisichopungua miaka thelathini.


IMEANDIKWA NA;


Mwanasheria

Johnson Yesaya Mgelwa (@yesayajm_ )

Wa Jungu la sheria Tanzania.

0758218269/0628729934

Chapisha Maoni

0 Maoni