Ticker

6/recent/ticker-posts

๐Ÿ‘ฉ‍๐Ÿ‘ฉ‍๐Ÿ‘ง‍๐Ÿ‘ฆ Usawa Kati ya Wake – Kifungu cha 57, Sheria ya Ndoa.

 

๐Ÿ‘ฉ‍๐Ÿ‘ฉ‍๐Ÿ‘ง‍๐Ÿ‘ฆ Usawa Kati ya Wake – Kifungu cha 57, Sheria ya Ndoa.

Kwa mujibu wa sheria, mume aliyeoa wake wawili au zaidi anawajibika kuwaheshimu na kuwahudumia wote kwa usawa.

⚖️ Kila mke: 
๐Ÿ”น Ana haki sawa kisheria.
๐Ÿ”น Ana wajibu sawa na wake wenzake.
๐Ÿ”น Ana hadhi sawa mbele ya sheria, bila ubaguzi wowote.

๐Ÿ“Œ Sheria hii inalenga kuondoa ubaguzi kati ya wake katika ndoa za mitala.

#UsawaKisheria #NdoaYaMitala #SheriaYaNdoa #HakiZaWake #JunguLaSheria ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

     ⚖️ Tatizo Lako la Kisheria Linahitaji Majibu Sahihi?

Elimu ya sheria inayotolewa kwenye makala hii ni ya jumla. Ikiwa unahitaji ufafanuzi kuhusu hali yako binafsi, unaweza kuongea moja kwa moja na Mwanasheria na kupata ushauri unaoendana na mazingira yako.

✅ Utakachopata

✔️ Uchambuzi wa suala lako la kisheria

✔️ Majibu ya maswali yako moja kwa moja

✔️ Mwongozo wa hatua za kuchukua

✔️ Ushauri wa kitaalamu unaozingatia mazingira yako

✔️ Usiri wa kitaalamu katika mawasiliano yote

๐Ÿ“š Maeneo Tunayotoa Ushauri

Ardhi • Mirathi • Ndoa na Talaka • Ajira • Mikataba • Madeni • Biashara • Mashauri ya Madai • Mashauri ya Jinai na masuala mengine ya kisheria.

๐Ÿ’ฐ Ada ya Ushauri: TSh 30,000 Tu

๐Ÿ“ฒ Fanya Malipo Kupitia Mojawapo ya Njia Zifuatazo

✅ Airtel Money LIPA: 13970429

✅ Yas/Tigo LIPA: 18401500

✅ M-Pesa Wakala: 826910

✅ Selcom Lipa: 61122934

✅ CRDB Lipa TANQR: 11692089


Jina la Mpokeaji:
Johnson Yesaya Mgelwa

๐Ÿ“ฉ Baada ya Kufanya Malipo

Tuma ujumbe mfupi wa kuthibitisha malipo yako kupitia WhatsApp au SMS. Utapigiwa simu ndani ya dakika 10 kwa ushauri wa kisheria.

๐Ÿ’ฌ TUMA UTHIBITISHO WA MALIPO

+255 628 729 934

Usifanye Maamuzi ya Kisheria Bila Ushauri wa Kitaalamu.

Chapisha Maoni

0 Maoni