Ticker

6/recent/ticker-posts

Wananchi wanaruhusiwa kuhudhuria vikao vya mahakama bila zuio.



🟢 JE, UNAJUA?


Kwa mujibu wa Kifungu cha 186(1) cha Sheria ya Mwenendo wa Mashauri ya Jinai [Sura ya 20, R.E. 2022], mahakama zote zinapaswa kuwa wazi kwa umma! ⚖️👨🏾‍⚖️

📍 Sheria inasema kuwa eneo lolote ambalo mahakama inatumika kwa ajili ya kusikiliza au kuamua kosa la jinai "litahesabiwa kuwa ni mahakama ya wazi ambayo umma kwa ujumla wanaweza kuhudhuria kadiri nafasi inavyoruhusu."

🔒 Hata hivyo, Jaji au Hakimu anaweza kuamuru baadhi ya vikao kufanyika kwa faragha ikiwa ni kwa maslahi ya haki, usalama wa taifa, maadili ya umma, au ulinzi wa watoto na faragha ya wahusika.

👉 Hii ni haki yako kama raia — kuhudhuria vikao vya wazi vya mahakama ili kushuhudia namna haki inavyotendeka. Ni njia mojawapo ya kuimarisha uwazi, uwajibikaji na kuondoa woga katika mfumo wa utoaji haki.

#MahakamaNiYaUmma#Uwajibikaji #SheriaKwaWote #HakiZaBinadamu #JunguLaSheria #Tanzania.

     ⚖️ Tatizo Lako la Kisheria Linahitaji Majibu Sahihi?

Elimu ya sheria inayotolewa kwenye makala hii ni ya jumla. Ikiwa unahitaji ufafanuzi kuhusu hali yako binafsi, unaweza kuongea moja kwa moja na Mwanasheria na kupata ushauri unaoendana na mazingira yako.

✅ Utakachopata

✔️ Uchambuzi wa suala lako la kisheria

✔️ Majibu ya maswali yako moja kwa moja

✔️ Mwongozo wa hatua za kuchukua

✔️ Ushauri wa kitaalamu unaozingatia mazingira yako

✔️ Usiri wa kitaalamu katika mawasiliano yote

📚 Maeneo Tunayotoa Ushauri

Ardhi • Mirathi • Ndoa na Talaka • Ajira • Mikataba • Madeni • Biashara • Mashauri ya Madai • Mashauri ya Jinai na masuala mengine ya kisheria.

💰 Ada ya Ushauri: TSh 30,000 Tu

📲 Fanya Malipo Kupitia Mojawapo ya Njia Zifuatazo

✅ Airtel Money LIPA: 13970429

✅ Yas/Tigo LIPA: 18401500

✅ M-Pesa Wakala: 826910

✅ Selcom Lipa: 61122934

✅ CRDB Lipa TANQR: 11692089


Jina la Mpokeaji:
Johnson Yesaya Mgelwa

📩 Baada ya Kufanya Malipo

Tuma ujumbe mfupi wa kuthibitisha malipo yako kupitia WhatsApp au SMS. Utapigiwa simu ndani ya dakika 10 kwa ushauri wa kisheria.

💬 TUMA UTHIBITISHO WA MALIPO

+255 628 729 934

Usifanye Maamuzi ya Kisheria Bila Ushauri wa Kitaalamu.

Chapisha Maoni

0 Maoni