Ticker

6/recent/ticker-posts

Kusababisha Hasara ya Kifedha au Uharibifu wa Mali kwa Mamlaka za Serikali



Kusababisha Hasara ya Kifedha au Uharibifu wa Mali kwa Mamlaka Za Serikali

Sheria ya Kanuni za Adhabu, kifungu cha 284A inasema kuwa mtu yeyote ambaye, kwa kitendo cha makusudi, uzembe, au kutotimiza wajibu wake kwa njia inayofaa, anasababisha mamlaka ya serikali  kupata hasara ya kifedha au uharibifu wa mali yenye thamani ya si chini ya milioni kumi za Kitanzania, atakuwa na hatia. Adhabu ni faini ya si chini ya milioni tano au kifungo cha miaka mitatu au vyote kwa pamoja.

Mamlaka za serikali zinajumuisha:

  • Serikali, wizara, au idara za serikali
  • Mamlaka za serikali za mitaa
  • Mashirika ya umma na mashirika ya Afrika Mashariki
  • Kampuni ambazo serikali inamiliki hisa au kuidhinisha malipo yake
  • Vijiji na vyama vya ushirika vilivyosajiliwa

💼 Ikiwa utahusika na kusababisha hasara au uharibifu kwa mamlaka hizi, utapaswa kuwajibishwa kisheria.

🔹 Elimu ya Kisheria kwa Jamii 🔹 @jungu_la_sheria_tz

#SheriaTanzania #KuheshimuMali #ElimuYaSheria 

     ⚖️ Tatizo Lako la Kisheria Linahitaji Majibu Sahihi?

Elimu ya sheria inayotolewa kwenye makala hii ni ya jumla. Ikiwa unahitaji ufafanuzi kuhusu hali yako binafsi, unaweza kuongea moja kwa moja na Mwanasheria na kupata ushauri unaoendana na mazingira yako.

✅ Utakachopata

✔️ Uchambuzi wa suala lako la kisheria

✔️ Majibu ya maswali yako moja kwa moja

✔️ Mwongozo wa hatua za kuchukua

✔️ Ushauri wa kitaalamu unaozingatia mazingira yako

✔️ Usiri wa kitaalamu katika mawasiliano yote

📚 Maeneo Tunayotoa Ushauri

Ardhi • Mirathi • Ndoa na Talaka • Ajira • Mikataba • Madeni • Biashara • Mashauri ya Madai • Mashauri ya Jinai na masuala mengine ya kisheria.

💰 Ada ya Ushauri: TSh 30,000 Tu

📲 Fanya Malipo Kupitia Mojawapo ya Njia Zifuatazo

✅ Airtel Money LIPA: 13970429

✅ Yas/Tigo LIPA: 18401500

✅ M-Pesa Wakala: 826910

✅ Selcom Lipa: 61122934

✅ CRDB Lipa TANQR: 11692089


Jina la Mpokeaji:
Johnson Yesaya Mgelwa

📩 Baada ya Kufanya Malipo

Tuma ujumbe mfupi wa kuthibitisha malipo yako kupitia WhatsApp au SMS. Utapigiwa simu ndani ya dakika 10 kwa ushauri wa kisheria.

💬 TUMA UTHIBITISHO WA MALIPO

+255 628 729 934

Usifanye Maamuzi ya Kisheria Bila Ushauri wa Kitaalamu.

Chapisha Maoni

0 Maoni