Ticker

6/recent/ticker-posts

Ni lazima kutembea na cheti cha usajili wa gari.



Kwa mujibu wa kifungu cha 13 cha sheria ya usalama barabarani, kila mtu anayeendesha au anayesimamia gari lolote au trela anatakiwa kubeba cheti cha usajili (kadi) au nakala yake iliyohalalishwa na msajili, au nakala iliyothibitishwa na wakili, iliyotolewa kwa ajili ya gari hilo au trela, na atakionyesha kwa ukaguzi mbele ya askari polisi yeyote au mkaguzi wa magari atakayehitaji kukikagua.

Mtu yeyote anayetembea na gari bila cheti cha usajili (kadi) atakuwa ametenda kosa, na atawajibika, akipatikana na hatia, kulipa faini isiyopungua shilingi elfu hamsini lakini isiyozidi shilingi laki moja au kifungo kisichopungua miezi sita lakini kisichozidi miezi kumi na miwili au adhabu zote mbili, yaani faini na kifungo.

     ⚖️ Tatizo Lako la Kisheria Linahitaji Majibu Sahihi?

Elimu ya sheria inayotolewa kwenye makala hii ni ya jumla. Ikiwa unahitaji ufafanuzi kuhusu hali yako binafsi, unaweza kuongea moja kwa moja na Mwanasheria na kupata ushauri unaoendana na mazingira yako.

✅ Utakachopata

✔️ Uchambuzi wa suala lako la kisheria

✔️ Majibu ya maswali yako moja kwa moja

✔️ Mwongozo wa hatua za kuchukua

✔️ Ushauri wa kitaalamu unaozingatia mazingira yako

✔️ Usiri wa kitaalamu katika mawasiliano yote

📚 Maeneo Tunayotoa Ushauri

Ardhi • Mirathi • Ndoa na Talaka • Ajira • Mikataba • Madeni • Biashara • Mashauri ya Madai • Mashauri ya Jinai na masuala mengine ya kisheria.

💰 Ada ya Ushauri: TSh 30,000 Tu

📲 Fanya Malipo Kupitia Mojawapo ya Njia Zifuatazo

✅ Airtel Money LIPA: 13970429

✅ Yas/Tigo LIPA: 18401500

✅ M-Pesa Wakala: 826910

✅ Selcom Lipa: 61122934

✅ CRDB Lipa TANQR: 11692089


Jina la Mpokeaji:
Johnson Yesaya Mgelwa

📩 Baada ya Kufanya Malipo

Tuma ujumbe mfupi wa kuthibitisha malipo yako kupitia WhatsApp au SMS. Utapigiwa simu ndani ya dakika 10 kwa ushauri wa kisheria.

💬 TUMA UTHIBITISHO WA MALIPO

+255 628 729 934

Usifanye Maamuzi ya Kisheria Bila Ushauri wa Kitaalamu.

Chapisha Maoni

0 Maoni